Maelekezo Jinsi ya Kutangaza nasi.
Tangaza nasi BoteaMotors.Com leo. Kabla ya kuwasilisha tangazo, tunashauri kupitia maelekezo kutoka kwenye video ambatanishwa hapo juu. Ili iweze kukurahisishia kufata muongozo na uwasilishaji utakao kuwa umekidhi vigezo katika tangazo lako.